PWEZA SPOT - Ni restaurant ya chakula ambayo inahusika na uandaaji wa vyakula vya baharini (SeaFoods). Lakini pia tunaandaa vyakula vya aina zote endapo utahitaji. Tunapatikana Morocco, Dar es salaam nyuma ya jengo la Airtel.


Lakini pia tunafanya delivery Dar-es-salaam nzima. 

Kupitia page hii tutakuletea moja kwa moja huduma zote zinazopatikana ndani ya PWEZA SPOT RESTAURANT.

Weka order ya chakula ukipendacho kupitia namba; 0766188195 / 0740865754.



Karibu sana ndani ya PWEZA SPOT RESTAURANT.