Hello! Mambo vipi? 

I hope nyote ni wazima, Leo kupitia restaurant ya PWEZA SPOT tungependa ufahamu bei ya vyakula vyetu. 

Picha ifuatayo ni aina za vyakula vilivyopo ndani ya Restaurant yetu na bei zake.


Bila kusahau hiyo K inawakilisha maelfu(000). Mfano; 6K ni sawa na 6000.


KARIBUNI SANA NDANI YA PWEZA SPOT.